VUMBI LAFUNIKA ANGA: Vumbi zito latishia uhai wa wakazi wa Gairo, Kibaigwa, Kongwa na Dodoma mjini jioni hii; lazagaa na kutanda angani; watu wajifungia ndani.
Hivi mkuu nipo ndani kidooogo kuna afadhali, mlimwa ilikuwa haionekani kabisa yaani ni shiida mkuu nilipo umeme hakuna halafu milango na madirisha tumefunga na joto hili basi tabu tupu
VUMBI LAFUNIKA ANGA: Vumbi zito latishia uhai wa wakazi wa Gairo, Kibaigwa, Kongwa na Dodoma mjini jioni hii; lazagaa na kutanda angani; watu wajifungia ndani.
Mkuu hilo vumbi linamaanisha uchafu wa rasimu ya katiba mpya ya CCM iliyopendekezwa na Chenge na Samwel 6. Hivyo wananchi wanataadharishwa wakiiendekeza au kuendelea kuisoma vumbi litajaa machoni mwao. Over!