Azam naichukia, Simba nayo siipendi. Sijui leo niwe upande upi! Azam akishinda bado hana madhara kwetu. Simba naye hata akishinda bado si lolote na si chochote.
Leo niko neutral, matokeo yoyote na yaje tu. Mwenyezi Mungu aitendee haki kila timu kwa kuvuna ilichopanda.
unataka droo wewe kuwa mkweli mkuu
Azam naichukia, Simba nayo siipendi. Sijui leo niwe upande upi! Azam akishinda bado hana madhara kwetu. Simba naye hata akishinda bado si lolote na si chochote.
Leo niko neutral, matokeo yoyote na yaje tu. Mwenyezi Mungu aitendee haki kila timu kwa kuvuna ilichopanda.
Leo lazima uone wanaume wanavojua mpira
wadau karibuni uwanja wa taifa kuona mechi kali tangu mwaka 2015 uingie vijana wa unyamani simba sc watakipiga na kinara wa ligi kuu Azam fc wana lambalamba, vijana wa simba chuo cha soka Tanzania wameahidi kutoa dozi kulingana na hali ya mgonjwa kwa kupiga mpira mwingi ili kupata points 3 muhimu, simba itakuw inawategea vijana waliokwiva kama nahodha isihaka hassani, jonas mkude, saidi ndemla, ramandani singano, okwi(mtoa roho), saimon serenkuma, uku Azam fc ikiwategemea kipre tchetche, domayo, kavumbagu, bocco na brian majegwa.
Karibuni wadau wote mtapata update hapahapa jf.
Mechi itaanza saa kumi kamili jioni
Team today
1. MWADINI ALI
2. SHOMARI KAPOMBE
3. ERASTO NYONI
4. AGGREY MORIS
5. PASCAL WAWA
6. BOLOU MICHAEL
7. MUDATHIR YAHYA
8. FRANK DOMAYO
9. DIDIER KAVUMBAGU
10. KIPRE TCHETCHE
11. HIMIDI MAO
AKIBA
1. KHALID MAHADHI
2. SAID MORAD
3. GADIEL MICHAEL
4. KELVIN FRIDAY
5. KHAMISI MCHA
6. AMRI KIEMBA
7. JOHN BOCCO
Azam naichukia, Simba nayo siipendi. Sijui leo niwe upande upi! Azam akishinda bado hana madhara kwetu. Simba naye hata akishinda bado si lolote na si chochote.
Leo niko neutral, matokeo yoyote na yaje tu. Mwenyezi Mungu aitendee haki kila timu kwa kuvuna ilichopanda.
Leo lazima uone wanaume wanavojua mpira
makoye Leo hakuna visingizio vya taulo wala gloves.Leo hakuna uchawi.Leo ni mpira tuAngalia mmoja asije akafanywa mwanamke ingawa sipendi sana kutumia mfano wa mwanaume na mwanamke.
Azam naichukia, Simba nayo siipendi. Sijui leo niwe upande upi! Azam akishinda bado hana madhara kwetu. Simba naye hata akishinda bado si lolote na si chochote.
Leo niko neutral, matokeo yoyote na yaje tu. Mwenyezi Mungu aitendee haki kila timu kwa kuvuna ilichopanda.
Mimi mara 100 afadhali washinde wauza lambalamba kuliko hawa wazee wa kulawitiana, yaani siwapendi hawa watu!!!Azam naichukia, Simba nayo siipendi. Sijui leo niwe upande upi! Azam akishinda bado hana madhara kwetu. Simba naye hata akishinda bado si lolote na si chochote.
Leo niko neutral, matokeo yoyote na yaje tu. Mwenyezi Mungu aitendee haki kila timu kwa kuvuna ilichopanda.
Azam naichukia, Simba nayo siipendi. Sijui leo niwe upande upi! Azam akishinda bado hana madhara kwetu. Simba naye hata akishinda bado si lolote na si chochote.
Leo niko neutral, matokeo yoyote na yaje tu. Mwenyezi Mungu aitendee haki kila timu kwa kuvuna ilichopanda.
mimi ni mshabiki wa mnyama. ila leo ningependa AZAM washinde ili wasogee mbele na kuipa YANGA wakati mgumu zaidi kipoint. Simba tumejitoa kwenye kombe hili maana halina faida sana kama la nani mtani Jembe.lile lina pesa nying zaidi kuliko hata VPL. so leo hata AZAM Wakishinda sitajisikia vibaya sana kwa kuwa YANGA hawatakuwa na amani. na mimi ninachotaka ni YANGA kutokuwa na furaha maisha yao yote. TEAM YA WASHIRIKINA KAMA YANGA ilipaswa ifungiwe lakini naona TFF inawatizama tu.