Voting under way in disputed Burundi elections

Fall Army Worm

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
19,371
Reaction score
14,515
Habari wapendwa!
Hayawi, hayawi, Sasa yamekuwa, Hatimaye Leo Wananchi wa Nchi jirani ya Burundi wanapiga kura ya kumchagua Rais wa nchi hiyo,Changamoto kubwa ni kujiengua kwa Wagombea wa ngazi ya Uraisi kutoka vyama vya Upinzani. Tuwaombee waweze kupita salama katika kipindi hiki kigumu.


 
Huyu Nkurunzisa hataki kutoka madarakani jana watu walipiga kura hadi usiku huku risas na mabomu yakiwa yanarindima
 
Jana usiku na leo asubuhi kulikuwa na milio ya risasi, sijui hali inakwendaje muda huu, wenye taarifa tujulisheni
 
Kiukweli tu ni kwamba kuna binaadamu wabinafsi tena Africa ndio inaongoza na ndio maana umasikini hauishi na hali ya kuwa Africa inautajiri.Mtu anahiari watu wafe lakini madaraka yaakie kwake.Sijui tutamweleza nini Mwenyezi Mungu??!!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…