mchambawima1
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 2,487
- 738
Umeniacha hapo Mkuu sijakuelewa bwana yule ndio nani?Bwana yuleee kazi yake ni kutumbua na kuteua tu.
Umepotea sana Mkuu Kigali wazimaSonga songa songa mbele
Nipo mkuu...mimi anaenirudisha hapa ni jamaa mmoja tu. Sijamuona siku nyingi so nilikuwa napunguza things on my plateUmepotea sana Mkuu Kigali wazima
Jamaa wa sumu au wa maziwaNipo mkuu...mimi anaenirudisha hapa ni jamaa mmoja tu. Sijamuona siku nyingi so nilikuwa napunguza things on my plate
Huwa namuita Interahamwe-in-chief.Jamaa wa sumu au wa maziwa
Ni nani huyo?Sisi tunamtafuta kwanza Faru John...
Na bado tunasubiri Tanzania ya viwanda!Bwana yuleee kazi yake ni kutumbua na kuteua tu.