VODACOM TABLET INANISUMBUA , SIMU ZINAINGIA LAKIN NIKIPIGA INAGOMA

kindoki

JF-Expert Member
Sep 17, 2018
213
218
Wakuu ninamiliki tablet ya Vodacom kwa kipind kisichozid miez kumi, sasa imeanza tatizo la kugoma kupiga simu azitoki lakin nikipigiwa zinaingia vizuri tu na Huduma zingine inafanya kama kawaida icpokuwa upande wa OUT GOING CALLS ndio imegoma, ukipiga simu inaandika "ACM EXCEEDED LIMIT", mwenye utaalamu anisaidie mawazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda ka renew hio line,tatizo litaisha.

Kuna watu walifanya hivyo na ikawa poa,wala sio tatizo la Tablet hilo.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
*OFA OFA OFA *
IPHONE 5s
16Gb
Brand new
Brand new accesories
300k
All colours


Samsung A7 (2015)
Brand new
Brand new accesories
320k
All colors


Samsung galaxy J7(2015)
Brand new
Brand new accesories
All colors

320k

Call
0716119347

Free delivery



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…