shuhudia lihemla
Member
- Jul 12, 2014
- 61
- 17
Mutwe niester Fiati Carbondioxide nasmapesa mkachu shuhudia lihemla
Nawasihi kwa mamlaka yangu kwa kuwa ni mteja wao jaribuni Zanzinar Telecom, maana wana nafuu kubwa sana, ila ndugu zangu watz tumezoea ile lugha kizuri chajiuza, ....!
Hawa jamaa wana 25mb, 100sms na 7mins mitandao yote, japo walipunguza na kuwa 6 but wameongeza leo kifurushi chote hicho kwa shs 300/- nini zaidi upewe?