Vodacom internet ni ovyo

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
841
Reaction score
140
Yaan hapa wilayani magu kuna mnara wa cm (voda),
lakin masuala ya Net Yanasumbua kweli, eti net inakamata upande wa kusini 2, wale wa upande wa kas' wakitaka kuaccess lazma waje kus, yaa ni ovyo tupu
hlf nawapigia customer care wao wananijibu eti nikitaka ishike nikiwa kas' lzma nijiunge cheka ya INTERNET,
hawa jamaa walisoma arts lkn eti ni washauli wa mambo ya kitaalam nyoooo,
ziro tupu
 

mkuu chukua uamuzi sikunamitandao kibao tu! au hapo kwenu ni hao voda tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…