PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,182
mkuu [airtel] nayo ni majangatu,hamia airtel
limekua sasa ni tatizo mtu unanunua kifurushi cha [internet] cha bila kikomo lakini unatumia ikishafika mb 700 unatumiwa sms kuambiwa unapunguziwa speed,sasa najiuliza ni nini maana ya bila kikomo?
mbaya zaidi,wakishapunguza speed yaani huwezi kufanya kazi yoyote maana internet inakwenda kama konokono​ sasa huu si uhuni? Embu jirekebiseni hii ni tabia mbaya na ni wizi,
Isomeke hivyo walau maana matumizi ya lugha si mazuri.