Hii company ya VODACOM
imekuwa ikitoa offer za Uongo wanakwambia sekunde 900 na sms mia lakini
ukishajiungu wanakata zaidi ya Hiyo 350 ukiwapigia cmu wanakwambia
umekoseaau muda umeisha kwenye voice mail na ikiangalia kwenye simu yako
huna mtu anayetumia voice mail kwakweli huduma za voda no mbaya na kero
,mara cmu haipatikani Wakati uliongea naye dk 1 iliyopita mara network
busy ,mara out of service area. Sio kwamba tunashindwa kuwahama ila mtu
anafikiria ni vitu vingapi atapoteza kwakubadilisha namba za simu.
VODACOM PLS BADILIKENI TUMECHOKA UMEKUWA KERO !!!!!!