VOA: Mbunge Mangungu Vipi?

Ndyali

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2011
Posts
1,678
Reaction score
971
Katika mjadala wa uwajibikaji kati ya Jembe la CHADEMA Mchungaji Msigwa na Kilaza Mangungu wa nyinyiem, Kilaza Mangungu, ameonekana hasomi alama za nyakati, kwa kusema eti umma wa watanzania unawamini sana magamba ndo maana wamewapa ridhaa ya kuongoza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…