Mkuu chakii,bagamoyo sehemu gani hayo maeneo yanapatikana kwa bei hiyo ya laki 5,uwa yana ukubwa gani?vipi unaweza tupia namba ya mtu anaehusika ili kuweza kupata maelezo zaidi.
Una mil 2,unataka kiwanja cha mil 1.5,mkuu ndo kusema unataka ubaki na chenchi ya laki 5? Anyway,hela yako sio ndogo,utapata,ila ogopa tapeli. Kwa bei hiyo usishangae kuuziwa kiplefti unaamka asubuhi watu wanakuzunguka tu!