mpendaMaendeleo
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 279
- 35
viko wapi na maeneo gani?
viko wapi na maeneo gani?
asante kwa ukumbusho japo unadharau, ingetoshatu kwako kuniambia nisome tena kichwa cha habar, kuliko kuingiza maneno ambayo hayaengi loloteUmezoea madrasa mnasoma kutoka kulia kwenda kushoto, au?
Rudia kusoma heading
mbezi mskuzi unaingia kulia ukitokea mji. unaingilia pale mbezi mwisho wanakojenga stendi mpya ya mkoa.
viko 6km kutoka morogoro roadok nimekupata na je ni kilometa ngapi kutoka huko site mpaka kufika barabara ya morogoro?
Umezoea madrasa mnasoma kutoka kulia kwenda kushoto, au?
Rudia kusoma heading
kiongozi mie natafuta eneo tegeta A goba naweza kupata?vina ukubwa kuanzia mita 20*20 bei milion 2 na kuendelea...
miundombinu ya barabara ipo..
wahi sasa kabla huja chelewa.
(kwa taarifa zaidi piga 0715055577/0769055577)
Vp kuhusu maji?