K Kizitonga Member Joined Jul 6, 2013 Posts 32 Reaction score 0 Jul 17, 2013 #1 Habari zenu wakuu, Ndugu zangu kuna viwanja viwili vinauzwa kwa 7.5m na 10m,vipo MAKOKA MWISHO sehemu tambarale,kwenye hiyo bei pia maongezi yapo hivo bei ni maelewano! Kwa anayehitaji wasiliana nami kwa namba hii 0717 631985
Habari zenu wakuu, Ndugu zangu kuna viwanja viwili vinauzwa kwa 7.5m na 10m,vipo MAKOKA MWISHO sehemu tambarale,kwenye hiyo bei pia maongezi yapo hivo bei ni maelewano! Kwa anayehitaji wasiliana nami kwa namba hii 0717 631985
LexAid JF-Expert Member Joined Jul 5, 2011 Posts 1,931 Reaction score 774 Jul 17, 2013 #2 MAKOKA MWISHO ndio wapi huko mkuu? Toa taarifa kamili.
K Kizitonga Member Joined Jul 6, 2013 Posts 32 Reaction score 0 Jul 17, 2013 Thread starter #3 LexAid said: MAKOKA MWISHO ndio wapi huko mkuu? Toa taarifa kamili. Click to expand... Ni Ubungo-DSM