Viwanja vizuri sana vinauzwa eneo la Tabata Segerea, vipo karibu na Ambasador sekondari au Segerea Seminary.
1. kina urefu =38 mita na upana =18 mita.
Bei ni Tshs.25m
2. kina urefu =30 mita& upana=28 mita
Bei ni Tshs.27m
Viwanja vyote vinafikika kwa Barabara za gari na ni jirani na maji ya Dawasco na umeme wa Tanesco..Hii ni fursa adimu kupata makazi ya uhakika
Simu: 0656190449