Achileus Rwechungula
Member
- Oct 21, 2017
- 34
- 7
Ni vyakoo au we ni dalali naweza lipa kwa awamu. Umbali kutoka main road ni Km ngapiViwanja vipo mwanza maeneo ya mkolani nyahingi vina ukubwa wa 19/44mt, 26/42mt vimepimwa na vina hati havina mgogoro.
Kwa mnunuaji anayo fursa ya kununua kiwanja na kuunganisha cha pembeni kulingana na pesa yake.
Bei inaanzia 5,000,000 Hadi 7,500,000.
Wasiliana nasi kupitia namba 0763269695 au 0715910615.
Kama unahitaji kweri njoo uone biashara itafanyika we piga hiyo namba.Ni vyakoo au we ni dalali naweza lipa kwa awamu. Umbali kutoka main road ni Km ngapi
Nini tatizoMmhhhhh
Nindani ya 1 kilometerKuna umbali gani kutoka hiyo main road(barabara ya lami)?
Umesoma tangazo vizuriiMmmh unaanzia ml5 mpaka 7,500,000 bei ya nchi gani hiyo?
Hiyo bei ya chini imeandikwa wapiUmesoma tangazo vizurii
Kwa yale maeneo huwezi pata kiwanja kina hati kwa hiyo beiVikifika 2m mnitag ata 20*30
Nyahingi ipo katikati ya mkolani na bulaleMaeneo gani Mwanza?