chofachogenda
Senior Member
- Oct 6, 2016
- 107
- 200
Vina ukubwa ganiNauza viwanja 2 vilivyopimwa vipo Kiluvya Dar es Salaam. Bei ni 4m@ kwa aliye serious ani PM
Vina ukubwa gani?Nauza viwanja 2 vilivyopimwa vipo Kiluvya Dar es Salaam. Bei ni 4m@ kwa aliye serious ani PM
Sasa tuviwanja twa hivi mnajenga nyumba za aina gani?Nauza Viwanja Chanika Majumba sita mita 14 kwa mita 12 bei tsh milioni 1
Nicheki 0765779187
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Haka katanifaa kijenga chumba self na sebule kwa ajili ya kugegeda waremboNauza Viwanja Chanika Majumba sita mita 14 kwa mita 12 bei tsh milioni 1
Nicheki 0765779187
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Weka picha basi japo tukione mandhari yake
weka pichaNauza kiwanja changu chenye ukubwa wa sq 600 kina hati kipo Kigamboni kimbiji golani..Bei ni 3.5mil Nicheki 0657940974
Picha za eneo View attachment 2089319View attachment 2089320View attachment 2089321Weka picha basi japo tukione mandhari yake
Ni km ngapi kutokea feri na darajani?Nauza kiwanja changu chenye ukubwa wa sq 600 kina hati kipo Kigamboni kimbiji golani..Bei ni 3.5mil Nicheki 0657940974
Ni km ngapi kutokea feri na darajani? Ni km 35 kutoka ferry