Maana yangu ni kwamba hakuna kiwanja cha Tshs 6000-7500 per square meter Kitopeni.Kwa taarifa yako Tshs 12,000/= ni bei ya kutupa.Unaandika vitu usivyojua na bila kufanya utafiti.Ina maana hao raia unawasemea wao hawana akili, ni watoto?Je,ni wewe uliwasaidia kutafuta hiyo pesa.Elewa Watanzania wanajua thamani ya ardhi na hivi tunaongea viwanja karibia vinaisha.Pole sana Ndugu yangu!!!!!