Havijapimwa Boss but you wont regret buying it, trust me.samahani notifier, vimepimwa?
Havijapimwa Boss but you wont regret buying it, trust me.
tnotifier nijulishe kupitia 0754 462725.nahitaji kuviona hivyo viwanja kama inawezekana nijulishe.nadhan watu tuwe tunaweka na contact hata asiye jf member anaweza kukutafuta.maana kwa contact mawasiliano yanakuwa easy hata kwa picha via wtsp viber etc instantly.
Sijajua mantiki ya swali lako but kongowe ni karibu kidogo ila almost the same!Ok,
Wapi ni karibu kati ya Kongowe au Ferry?
Na ni Kilometer ngapi?
sehemu viwanja vipo ni nje ya mradi, kwahiyo hakuna mushikeliKigamboni patamu sana tatizo serekali haieleweki, kikwete mwenyewe anazingua. na ikija kuleta marinjirinji baadae itakuwaje boss?