geometry JF-Expert Member Joined Oct 30, 2014 Posts 466 Reaction score 359 Aug 21, 2016 #1 Viwanja maeneo mbalimbali ya Goba lakini hakuna kilichombali 4km kutoka barabara ya Goba-massana kwa ukubwa tofauti tofauti Kwa mawasiliano Call/Whatsapp 0719573444
Viwanja maeneo mbalimbali ya Goba lakini hakuna kilichombali 4km kutoka barabara ya Goba-massana kwa ukubwa tofauti tofauti Kwa mawasiliano Call/Whatsapp 0719573444
M Mnenei Member Joined Jul 15, 2013 Posts 77 Reaction score 74 Aug 21, 2016 #2 ingependeza kama ungeweka bei, na size mkuu,, kwenye kutangaza biashara tujaribu kuweka mazingira rafiki kwa mlaji pia
ingependeza kama ungeweka bei, na size mkuu,, kwenye kutangaza biashara tujaribu kuweka mazingira rafiki kwa mlaji pia
geometry JF-Expert Member Joined Oct 30, 2014 Posts 466 Reaction score 359 Aug 21, 2016 Thread starter #3 Mnenei said: ingependeza kama ungeweka bei, na size mkuu,, kwenye kutangaza biashara tujaribu kuweka mazingira rafiki kwa mlaji pia Click to expand... Vipo vingi na size tofauti tofauti kila mtu ana priorities zake Mpaka nijue priorities za mtu ndo naweza jua ntamrahisishiaje
Mnenei said: ingependeza kama ungeweka bei, na size mkuu,, kwenye kutangaza biashara tujaribu kuweka mazingira rafiki kwa mlaji pia Click to expand... Vipo vingi na size tofauti tofauti kila mtu ana priorities zake Mpaka nijue priorities za mtu ndo naweza jua ntamrahisishiaje
chinekeeee JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 1,787 Reaction score 2,896 Aug 21, 2016 #4 Nataka meters 30 kwa 30 bei gani
geometry JF-Expert Member Joined Oct 30, 2014 Posts 466 Reaction score 359 Aug 21, 2016 Thread starter #5 chinekeeee said: Nataka meters 30 kwa 30 bei gani Click to expand... Mil 15 mpk 25 Kutegemeana mahali kilipo na usawa wake(land scape)
chinekeeee said: Nataka meters 30 kwa 30 bei gani Click to expand... Mil 15 mpk 25 Kutegemeana mahali kilipo na usawa wake(land scape)
Benzoic JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 421 Reaction score 149 Oct 9, 2016 #6 Kuna 20x20 chenye sea view. Nipe bei. Kisiwe kilometa zaidiya 3 kutoka rami yoyote
BABA TUPAC JF-Expert Member Joined Sep 30, 2015 Posts 1,533 Reaction score 3,838 Oct 10, 2016 #7 Mi nahitaji sea view 40x30. Weka bei
Benzoic JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 421 Reaction score 149 Nov 9, 2016 #8 Dalali vipi tena??
Somoche Platinum Member Joined Oct 6, 2010 Posts 7,039 Reaction score 9,660 Nov 10, 2016 #9 Nataka 9 x 11 bei?