sweveta Member Joined Oct 27, 2013 Posts 13 Reaction score 4 Mar 1, 2014 #1 Viwanja vinauzwa eneo la madale urefu 20 na upana 22, vipo katika hali nzuri na vina mimea ya matunda kama miembe, michungwa na minazi. Mawasiliano: 0713261208/0787909045
Viwanja vinauzwa eneo la madale urefu 20 na upana 22, vipo katika hali nzuri na vina mimea ya matunda kama miembe, michungwa na minazi. Mawasiliano: 0713261208/0787909045
MENISON JF-Expert Member Joined Apr 26, 2013 Posts 726 Reaction score 623 Mar 1, 2014 #2 Weka bei, je vina hati ? wewe ni dalali?anyway umetoa habari nusu
sweveta Member Joined Oct 27, 2013 Posts 13 Reaction score 4 Mar 1, 2014 Thread starter #3 Bei ya hivyo viwanja ni @ 3.5m havina hati ila vipo katika eneo zuri na tulivu.
SUPERUSER JF-Expert Member Joined Jun 11, 2011 Posts 960 Reaction score 308 Mar 1, 2014 #4 Madale ndio wap
sweveta Member Joined Oct 27, 2013 Posts 13 Reaction score 4 Mar 2, 2014 Thread starter #5 Madale ipo mkoa wa dar es salaam wilaya ya kinondoni, mbele ya tegeta kiwanda cha twiga cement.
Rapunzel JF-Expert Member Joined Jun 30, 2012 Posts 1,079 Reaction score 601 Mar 4, 2014 #6 Mmmh huko viwanja vingi vimechukuliwa vhukuliwa atakayenunua awe makini usiuziwe eneo la mtu, me nusra nipigwe changa la macho.Tahadharini..
Mmmh huko viwanja vingi vimechukuliwa vhukuliwa atakayenunua awe makini usiuziwe eneo la mtu, me nusra nipigwe changa la macho.Tahadharini..