Kuna kampuni inahusika hapo inaitwa Eagles kama sijakosea. Mwaka juzi niliondoka hao watu wakiwepo hapo mjini walikuwa wanauza viwanja kwa mikopo yaani unalipa taratibu kwa vigezo na masharti....ni bora kuwatafuta hao jamaa, viwanja vilikuwa vimepimwa kabisa