1~50×40=2.5M(ft)JIPATIE KIWANJA KWA BEI YA OFFER na UTAKAYOIWEZA
Ni kilwa road mwandege dsm,
Nyuma ya kiwanda cha bakhresa,
Ni mji mpya unaokuwa kwa kasi kubwa, panaitwa CHATEMBO.
Ukubwa ft 50×40,
Bei ni mil 2.5,
Maelewano yapo,
Wahi vimebaki vichache,
Pia kuna 50×50 bei ni mil 1.5
Usafiri upo wa kutosha kutoka mbagala, maji na umeme upo.
Kwa maelezo na maswali
0683/ 0714> 77 55 66
Wote mnakaribishwa
View attachment 466550
Huyo ni dalali, hapo wenye Viwanja ndo kila mmoja ameweka bei yake, ni soko huria usishtuke sana.1~50×40=2.5M(ft)
NA
2~50×50=1.5M
Naomba kuuliza,
kati ya cha kwanza na cha pili kipi kikubwa?
Au cha (2) kipo katika vipimo vipi? naona kama kuna mkanganyiko au mimi ndo sielewi.
Sawa mkuuHuyo ni dalali, hapo wenye Viwanja ndo kila mmoja ameweka bei yake, ni soko huria usishtuke sana.
50×40 ni kipo high quality, kimechongewa na barabara, na pia kipo tambalale,1~50×40=2.5M(ft)
NA
2~50×50=1.5M
Naomba kuuliza,
kati ya cha kwanza na cha pili kipi kikubwa?
Au cha (2) kipo katika vipimo vipi? naona kama kuna mkanganyiko au mimi ndo sielewi.