Ole-Sabaya
Member
- Nov 19, 2017
- 26
- 14
Salamu kwenu wote wana JF!! Viwanja vinauzwa Arusha-DC eneo la Nduruma jirani na Mandela University. Bei kwa Square Mita ni Tshs 2,500/=. Maji na Umeme zinapatikana. Umbali: 2Km kutoka Nduruma Stand barabara ya lami na 7Km kutoka Arusha mjini. Piga No. 0786224248
Salamu kwenu wote wana JF!! Viwanja vinauzwa Arusha-DC eneo la Nduruma jirani na Mandela University. Bei kwa Square Mita ni Tshs 2,500/=. Maji na Umeme zinapatikana. Umbali: 2Km kutoka Nduruma Stand barabara ya lami na 7Km kutoka Arusha mjini. Piga No. 0786224248
Ni kwel kbsa Mdau#1. Hata huku Arusha zipo za bei hiyo...ila inategemea na eneo husika.Daah Arusha kumbe mambo matamu hivi Huku wanatuuzia 35,000 kwa sqm ni shida
Kuna umbali wa eneo mara mbili, kwa kutumia gari au chombo chochote cha moto au miguu na pili, kwa kutumia GPS. Hii ya pili, inakupa accurrancy ya umbali ktk straight line. Na ndo chombo cha kisasa cha kutoa umbali halisi la eneo...Hivyo, usinibishie nilichokiandika.
Hivyo Viwanja ni mali ya Halmashauri ya wilaya ya Arusha (Arusha DC) au vya mtu binafsi?Salamu kwenu wote wana JF!! Viwanja vinauzwa Arusha-DC eneo la Nduruma jirani na Mandela University. Bei kwa Square Mita ni Tshs 2,500/=. Maji na Umeme zinapatikana. Umbali: 3Km kutoka Nduruma Stand barabara ya lami na 25Km kutoka Arusha mjini. Piga No. 0786224248
Nakuhukuru sana Mkuu...hivyo viwanja ni za mtu binafsi. Zipo ktk uwanda tambarare...ila picha pia nitawekaHivyo Viwanja ni mali ya Halmashauri ya wilaya ya Arusha (Arusha DC) au vya mtu binafsi?
Pia nakushauri ambatanisha na picha kadhaa tuone sura ya nchi miinuko, mabonde au tambarare.
Acha upotoshaji wapi huko. Bei ya maeneo yaliyopimwa hupangwa na Kamishina wa ramani na si Halmashauri husika. Hakuna mahara hapa TZ ambapo COM alishapanga 35,000/Sqm.Daah Arusha kumbe mambo matamu hivi Huku wanatuuzia 35,000 kwa sqm ni shida