C chavalinoti Member Joined Jun 18, 2015 Posts 13 Reaction score 0 Jun 28, 2015 #1 Jipatie viwanja vilivyopimwa katika mji wa mafinga kwa bei nafuu vilivyoko kinyanambo na pareto. Call 0754038837
Jipatie viwanja vilivyopimwa katika mji wa mafinga kwa bei nafuu vilivyoko kinyanambo na pareto. Call 0754038837
N nyavalungu Member Joined Dec 13, 2013 Posts 38 Reaction score 37 Jun 30, 2015 #2 chavalinoti said: jipatie viwanja vilivyopimwa katika mji wa mafinga kwa bei nafuu vilivyoko kinyanambo na pareto call..0754038837 Click to expand... Toa maelezo yaliyojaa kwenye tangazo lako. Je ni Kinyanambo ipi? Umbali toka barabara kuu ni mita ngapi? Vina ukubwa gani kwa mita za mraba? Ni vya makazi au biashara? Mengine ongezea ili biashara inoge.
chavalinoti said: jipatie viwanja vilivyopimwa katika mji wa mafinga kwa bei nafuu vilivyoko kinyanambo na pareto call..0754038837 Click to expand... Toa maelezo yaliyojaa kwenye tangazo lako. Je ni Kinyanambo ipi? Umbali toka barabara kuu ni mita ngapi? Vina ukubwa gani kwa mita za mraba? Ni vya makazi au biashara? Mengine ongezea ili biashara inoge.