Swali zuri sana mkuu. Watujibu walau tupime kina cha majiVipi kuhusu mode of payment? Unaweza kulipa kidogo kidogo?
[HASHTAG]#justAsking[/HASHTAG]
Nimekusoma mkuuInawezekana ukalipa 2 times....
Kajenge mabondeni ruksaHawa ndio wanafanya watu wajenge mabondeni, haiingii akirini sq moja uiuze kwa 10,000-15,000. kwa hesabu ya haraka haraka 40X40 ni 16M, 20X20 ni 4M, Kwa nini watu wasiuze groves waweze na wao kununua kiwanja cha 20x20. Kusema ukweli adui wa waTanzania ni mtanzania mwenyewe
Ulitaka thamani ya ardhi dar iwe sawa na kilolo iringa?.Hawa ndio wanafanya watu wajenge mabondeni, haiingii akirini sq moja uiuze kwa 10,000-15,000. kwa hesabu ya haraka haraka 40X40 ni 16M, 20X20 ni 4M, Kwa nini watu wasiuze groves waweze na wao kununua kiwanja cha 20x20. Kusema ukweli adui wa waTanzania ni mtanzania mwenyewe
hivyo vya kimbiji, saizi ya mwisho uliyonayo ni ipiSaragosa haina shida japo sisi hatufanyi udalali ni kampuni tunapima maeneo yetu na kuyauza.
So kwa kesi yako hiyo labda kwa makubaliano kabisa kuofisi!
Mkuu hii yal yale puna kuna moja unaingia kwa ndani ukisimama unaiona vikindu ni yale yale ipi? ndio hiyo unayouza wewe?400sqm