Plot Agent
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 311
- 20
Picha za NyumbaNYUMBA MBEZI BEACH
• Location: Mbezi Beach Tangibovu
• Direction: Mita 200 Kutoka Bagamoyo Rd
• Ukubwa Wa Uwanja: Sqm 600
• Status: Surveyed With Titledeed
• Bei: Tshs 300,000,000
MAWASILIANO: 0685917621 // 0675107182
House4Sale - Nyumba/Viwanja Vinauzwa DsmNYUMBA MBEZI BEACH
• Location: Mbezi Beach Tangibovu
• Direction: Mita 200 Kutoka Bagamoyo Rd
• Ukubwa Wa Uwanja: Sqm 600
• Status: Surveyed With Titledeed
• Bei: Tshs 300,000,000
MAWASILIANO: 0685917621 // 0675107182
Hahahaha...madalali bana....House4Sale - Nyumba/Viwanja Vinauzwa Dsm
muwe mnafanya mawasiliano kwanza ili kutoa taarifa zinazolingana.
Hatujaandika Kuwa ni fixed price so Maelewano yapo wala Usishangae, Mwengine anaweza Kuandika Zaidi ya iyo na mwingine anaweza kuandika Chini ya iyo.Hahahaha...madalali bana....
Ahsante kwa kumuumbua
One mistake one goal....Hatujaandika Kuwa ni fixed price so Maelewano yapo wala Usishangae, Mwengine anaweza Kuandika Zaidi ya iyo na mwingine anaweza kuandika Chini ya iyo.
kwa hiyo tofauti ya 100m unaona sawa?Hatujaandika Kuwa ni fixed price so Maelewano yapo wala Usishangae, Mwengine anaweza Kuandika Zaidi ya iyo na mwingine anaweza kuandika Chini ya iyo.
Ila muonage aibu yaani unazidisha 100M as if ni pesa ya Zimbabwe. Kwa style hiyo ninahisi mtu akikuzunguka akaenda kwa mwenye nyumba si ajabu akakuta bei yake ni 70-120MHatujaandika Kuwa ni fixed price so Maelewano yapo wala Usishangae, Mwengine anaweza Kuandika Zaidi ya iyo na mwingine anaweza kuandika Chini ya iyo.
Hii nyumba mlishauza? Na mliuza shilingi milioni 200 alizoandika uncledalali ama milioni 300 ulizoandika wewe!?Hatujaandika Kuwa ni fixed price so Maelewano yapo wala Usishangae, Mwengine anaweza Kuandika Zaidi ya iyo na mwingine anaweza kuandika Chini ya iyo.
Hizo bei za viwanja tu, hamna nyumba hapo.Weka picha za nyumba hizo tulinganishe na bei ulizoweka