IDEGENDA JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 4,492 Reaction score 5,349 Oct 21, 2013 #1 Kwa wakazi wa Dar es Salam, kuna viwanja vinne vyenye ukubwa wa hatua 20x20, bei ni mil. 4 kila kimoja,. Viwanja vipo Pugu Kinyamwezi mbele kidogo ya Kigogofresh njia ya kwenda Chanika. Gari inafika! Anaetaka ani PM!
Kwa wakazi wa Dar es Salam, kuna viwanja vinne vyenye ukubwa wa hatua 20x20, bei ni mil. 4 kila kimoja,. Viwanja vipo Pugu Kinyamwezi mbele kidogo ya Kigogofresh njia ya kwenda Chanika. Gari inafika! Anaetaka ani PM!
mandwa JF-Expert Member Joined Aug 13, 2013 Posts 1,502 Reaction score 372 Oct 22, 2013 #2 bado vipo viwanja?
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,808 Oct 24, 2013 #3 Pugu Kinyamwezi? Vina hati au vipo maeneo mazuri?