NegotiableHizi bei ni realistic kweli?
Sio tabata. Ni kimara mkuu sehemu inaitwa msakuzi.Hiyo nyumba ya Tabata ni tabata ipi mkuu? Kina hati?
Umesema kuna nyumba inauzwa Tabata iko ndani ya shamba.Sio tabata. Ni kimara mkuu sehemu inaitwa msakuzi.
Duh. Sorry mkuu. Nilikosea. Mambo mengi. Ni kimara.Umesema kuna nyumba inauzwa Tabata iko ndani ya shamba.