deomsolo Member Joined Mar 31, 2014 Posts 20 Reaction score 2 Aug 4, 2014 #1 Ndugu za ile nia ya kuwapatia makazi bado ninayo njoo uone viwanja kuanzia milioni 3 na kuendelea. 0713686329
Ndugu za ile nia ya kuwapatia makazi bado ninayo njoo uone viwanja kuanzia milioni 3 na kuendelea. 0713686329
deomsolo Member Joined Mar 31, 2014 Posts 20 Reaction score 2 Aug 4, 2014 Thread starter #2 Ndugu zangu ile nia ya kuwapatia viwanja kwa ajili ya makazi bado ninayo njoo uone viwanja ni kuanzia ml.3 na kuendelea kulingana na mahitaji yako.0713686329
Ndugu zangu ile nia ya kuwapatia viwanja kwa ajili ya makazi bado ninayo njoo uone viwanja ni kuanzia ml.3 na kuendelea kulingana na mahitaji yako.0713686329
mwekundu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 22,477 Reaction score 21,023 Aug 4, 2014 #3 Vina hati?viko flat?maana huko mabonde na milima ndo ilikoanzia
deomsolo Member Joined Mar 31, 2014 Posts 20 Reaction score 2 Aug 4, 2014 Thread starter #4 Hati ni za serekali za mtaa vipo vizuri sana
mamakibunju JF-Expert Member Joined Dec 28, 2013 Posts 1,009 Reaction score 222 Aug 5, 2014 #5 Barabarani vya frem za biashara kama bar vinapatikana?
amkawewe JF-Expert Member Joined Dec 9, 2011 Posts 2,021 Reaction score 528 Aug 5, 2014 #6 Sehemu gani Mbezi?
mamakibunju JF-Expert Member Joined Dec 28, 2013 Posts 1,009 Reaction score 222 Aug 5, 2014 #7 Kuanzia mbezi mwisho ukipita njia ya kwa mzungu hadi njia panda ya makabe mwisho, sehemu yoyote ktk hapo!
Kuanzia mbezi mwisho ukipita njia ya kwa mzungu hadi njia panda ya makabe mwisho, sehemu yoyote ktk hapo!