Viwanja , mashamba , vyumba na nyumba dodoma mjini

till hustling

Member
Joined
Mar 7, 2015
Posts
36
Reaction score
12
Kwa uhitaji wa viwanja, mashamba , vyumba na nyumba dodoma mjini upande wa mgharibi kikuyu,mkonze na kuendelea
Mawasiliano
0746402586
 
Nyumba ya kupanga mkonze, kikuyu, image bei gani?
 
Mimi nauza nusu eka kwa mil moja, iko wilaya ya Bahi
 
Taja sifa za hilo shamba/kiwanja, umbali toka main road, toka town, kinafaa kwa matumizi gani
Mimi nauza nusu eka kwa mil moja, iko wilaya ya Bahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…