viwanja kigamboni

ni_mtazamo_tu

Senior Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
153
Reaction score
20
habari zenu.
nauza viwanja vyangu vilivyopo kigamboni eneo la kibada wilaya ya temeke. viwanja vyote viwili vipo block 19 kibada.
kiwanja cha kwanza ni kiwanja namba 395 kina 1002 square metres na id ya kiwanja 226655. kiwanja hichi ni commercial na residential na kimelipiwa kila kitu na kina hati , bei ya kuuza inaanza milioni 45 za kitanzania.

kiwanja cha pili ni kiwanja namba 315 kina 902 square metres na id ya kiwanja ni 226568. kiwanja hiki ni residential na kimelipiwa kila kitu na kina hati, bei ya kuuza ni milioni 35 za kitanzania.

viwanja vyote viwili vipo kwenye kona.
nimeambatanisha picha za ramani unaweza kuona vilivyo na vilipo.

kwa atakayehitaji naomba awasiliane nami kwenye 0786 252026.
angalizo:- utawasiliana na mwenye mali na si dalali.
 
Natamani kununua tatizo pesa ndefu sana hio kwangu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…