Katika matangazo jaribuni kuwa WA kweli ili msipotezee watu muda wao.
Huduma za kijamii zipo ambazo zipo hapo malela????
Hapo ni zaidi malela ,hakuna umeme Wala maji alafu nyie katika matangazo YENU mnaweka huduma za kijamii zote zipo.!
Tangazo lenu limekaa kimkakati sio vyema japo hakuna utapeli mana nawafahamu vizuri
Kutoka vikindu tu mpaka site ni 14 kilometers