Sonship JF-Expert Member Joined Apr 13, 2021 Posts 263 Reaction score 337 Aug 19, 2025 #1 Viwanja vinauzwa bunju mabwe pande Vipo kwenye eneo la ekari 1 Umeme na maji yamefika site Vinakatwa ukubwa kuanzia Mita 20x20 bei mln 4.2 Mita 20x25 bei mln 4.5 Mita 20x30 bei mln 5 Pia size unayotaka utauziwa 0775 179905 Attachments Screenshot_20250819_153915_WhatsApp.jpg 153.6 KB · Views: 26
Viwanja vinauzwa bunju mabwe pande Vipo kwenye eneo la ekari 1 Umeme na maji yamefika site Vinakatwa ukubwa kuanzia Mita 20x20 bei mln 4.2 Mita 20x25 bei mln 4.5 Mita 20x30 bei mln 5 Pia size unayotaka utauziwa 0775 179905
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 15,945 Reaction score 18,378 Aug 19, 2025 #2 Sorry kiongozi unaijua vzr Lakini mabwe pande? Unazungumziaje kuhusu migogoro iliyopo uko? Kazi ni kipimo cha utu
Sorry kiongozi unaijua vzr Lakini mabwe pande? Unazungumziaje kuhusu migogoro iliyopo uko? Kazi ni kipimo cha utu
Sonship JF-Expert Member Joined Apr 13, 2021 Posts 263 Reaction score 337 Aug 19, 2025 Thread starter #3 kawombe said: Sorry kiongozi unaijua vzr Lakini mabwe pande? Unazungumziaje kuhusu migogoro iliyopo uko? Kazi ni kipimo cha utu Click to expand... Mkuu umiliki halali wa muuzaji unaweza kufuata taratibu muhimu kabla ya manunuzi ya ardhi kujiridhisha
kawombe said: Sorry kiongozi unaijua vzr Lakini mabwe pande? Unazungumziaje kuhusu migogoro iliyopo uko? Kazi ni kipimo cha utu Click to expand... Mkuu umiliki halali wa muuzaji unaweza kufuata taratibu muhimu kabla ya manunuzi ya ardhi kujiridhisha
Marco Polo JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 13,210 Reaction score 20,954 Aug 19, 2025 #4 kawombe said: Sorry kiongozi unaijua vzr Lakini mabwe pande? Unazungumziaje kuhusu migogoro iliyopo uko? Kazi ni kipimo cha utu Click to expand... Huko Kuna migogoro balaa juzi juzi tu hapa raia wamechoma nyumba ya mwenyekiti wa serikali ya mtaa
kawombe said: Sorry kiongozi unaijua vzr Lakini mabwe pande? Unazungumziaje kuhusu migogoro iliyopo uko? Kazi ni kipimo cha utu Click to expand... Huko Kuna migogoro balaa juzi juzi tu hapa raia wamechoma nyumba ya mwenyekiti wa serikali ya mtaa
Arizona 1 JF-Expert Member Joined Sep 10, 2024 Posts 1,768 Reaction score 3,484 Aug 19, 2025 #5 Sonship said: Viwanja vinauzwa bunju mabwe pande Vipo kwenye eneo la ekari 1 Umeme na maji yamefika site Vinakatwa ukubwa kuanzia Mita 20x20 bei mln 4.2 Mita 20x25 bei mln 4.5 Mita 20x30 bei mln 5 Pia size unayotaka utauziwa 0775 179905 View attachment 3446463View attachment 3446466View attachment 3446468 Click to expand... Mkuu maeneo ya goba na madale hauna viwanja?
Sonship said: Viwanja vinauzwa bunju mabwe pande Vipo kwenye eneo la ekari 1 Umeme na maji yamefika site Vinakatwa ukubwa kuanzia Mita 20x20 bei mln 4.2 Mita 20x25 bei mln 4.5 Mita 20x30 bei mln 5 Pia size unayotaka utauziwa 0775 179905 View attachment 3446463View attachment 3446466View attachment 3446468 Click to expand... Mkuu maeneo ya goba na madale hauna viwanja?
Sonship JF-Expert Member Joined Apr 13, 2021 Posts 263 Reaction score 337 Aug 20, 2025 Thread starter #6 Marco Polo said: Huko Kuna migogoro balaa juzi juzi tu hapa raia wamechoma nyumba ya mwenyekiti wa serikali ya mtaa Click to expand... Mkuu unataka kuniambia mwambepande kuna mtaa mmoja na mwenye kiti mmoja tu?Maeneo yako yakutosha yaliyo halali na yasiyo na migogoro muhimu ni mtu kujiridhisha kabla ya kufanya manunuzi
Marco Polo said: Huko Kuna migogoro balaa juzi juzi tu hapa raia wamechoma nyumba ya mwenyekiti wa serikali ya mtaa Click to expand... Mkuu unataka kuniambia mwambepande kuna mtaa mmoja na mwenye kiti mmoja tu?Maeneo yako yakutosha yaliyo halali na yasiyo na migogoro muhimu ni mtu kujiridhisha kabla ya kufanya manunuzi
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 15,945 Reaction score 18,378 Aug 21, 2025 #7 Sonship said: Mkuu umiliki halali wa muuzaji unaweza kufuata taratibu muhimu kabla ya manunuzi ya ardhi kujiridhisha Click to expand... Oh okay sawa!! Je eneo hili limepimwa tayri na kupata HATI ya wizarani? Ili kujiridhisha Asante. Kazi ni kipimo cha utu
Sonship said: Mkuu umiliki halali wa muuzaji unaweza kufuata taratibu muhimu kabla ya manunuzi ya ardhi kujiridhisha Click to expand... Oh okay sawa!! Je eneo hili limepimwa tayri na kupata HATI ya wizarani? Ili kujiridhisha Asante. Kazi ni kipimo cha utu
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 31,139 Reaction score 88,800 Aug 21, 2025 #8 Bei nzuri. Vina hati mkuu?
gubegubekubwa JF-Expert Member Joined Jun 9, 2008 Posts 683 Reaction score 956 Aug 21, 2025 #9 Kwa ninavyojua DSM hakuna viwanja vya bei hiyo naona kutakuwa na shida sehemu ingekuwa chanika huko sawa
Kwa ninavyojua DSM hakuna viwanja vya bei hiyo naona kutakuwa na shida sehemu ingekuwa chanika huko sawa
comrade_kipepe JF-Expert Member Joined Jun 25, 2019 Posts 6,447 Reaction score 11,504 Aug 21, 2025 #10 Kumbe Chanika sio DSM nilikua sijui gubegubekubwa said: Kwa ninavyojua DSM hakuna viwanja vya bei naona kutakuwa na shida sehemu ingekuwa chanika huko sawa Click to expand... DSM
Kumbe Chanika sio DSM nilikua sijui gubegubekubwa said: Kwa ninavyojua DSM hakuna viwanja vya bei naona kutakuwa na shida sehemu ingekuwa chanika huko sawa Click to expand... DSM