hivyo viwili vimeishauzwa kilichopo kina ukubwa wa mita 24 kwa 20 bei milioni 8,kipo sehemu nzuri,hakijai maji,kinafikika kwa gari maana barabara ya mtaa ipo
viwanja vipo viwili kimoja bomba mbili upana ni mita 20,urefu mita 24 bei millioni 8 kipo bomba mbili wilaya ya ilala karibu unaweza kupitia kivule au moshi bar na kingine kipo majohe ukubwa ni hatua 20 kwa 20 bei millioni 6,kupitia KIU
vipo viwili vinaukubwa wa hatua 20 kwa 20,eneo zuri halina mambonde wala miinuko,vina hati zake ambaye anahitaji tunaweza wasiliana pm,bei ni milioni 4 kwa kila kimoja