B badspender1 Member Joined Apr 22, 2014 Posts 74 Reaction score 6 Dec 18, 2015 #1 Viwanja vinauzwa bei poa Mapinga Kibosha. vipo Viwanja Vitatu ukubwa wake 40*40 kila Kiwanja. Umeme upo. Hapajapimwa. Taratibu zote za Kisheria zitafatwa ikiwemo Serikali ya Kijiji. Bei ni Tsh 6milioni kila kiwanja. contact: 0765 178 494
Viwanja vinauzwa bei poa Mapinga Kibosha. vipo Viwanja Vitatu ukubwa wake 40*40 kila Kiwanja. Umeme upo. Hapajapimwa. Taratibu zote za Kisheria zitafatwa ikiwemo Serikali ya Kijiji. Bei ni Tsh 6milioni kila kiwanja. contact: 0765 178 494
J Jibaba Bonge JF-Expert Member Joined May 6, 2008 Posts 1,246 Reaction score 404 Dec 18, 2015 #2 40*40 Ni katika vipimo gani?
abour JF-Expert Member Joined Apr 8, 2014 Posts 735 Reaction score 311 Dec 18, 2015 #3 Mapinga mkoa gani?
JAMBONIA LTD JF-Expert Member Joined Jan 22, 2014 Posts 584 Reaction score 276 Dec 18, 2015 #4 Bila shaka dar..bagamoyo road
I ishiveti JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 1,019 Reaction score 519 Dec 18, 2015 #5 Nataka heka moja ipo
I ishiveti JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 1,019 Reaction score 519 Dec 18, 2015 #6 Umbali gani in km kutoka barbara ya morogoro?
Mzimu wa Kolelo JF-Expert Member Joined Apr 16, 2013 Posts 2,950 Reaction score 8,918 Dec 18, 2015 #7 ishiveti said: Umbali gani in km kutoka barbara ya morogoro? Click to expand... kama kilomita 45 au 50
ishiveti said: Umbali gani in km kutoka barbara ya morogoro? Click to expand... kama kilomita 45 au 50
Mzimu wa Kolelo JF-Expert Member Joined Apr 16, 2013 Posts 2,950 Reaction score 8,918 Dec 18, 2015 #8 abour said: Mapinga mkoa gani? Click to expand... mapinga mkoa wa pwani wilaya ya bagamoyo ni kama kilomita 5 mpk 10 kutoka bunju B
abour said: Mapinga mkoa gani? Click to expand... mapinga mkoa wa pwani wilaya ya bagamoyo ni kama kilomita 5 mpk 10 kutoka bunju B
C COPPER JF-Expert Member Joined Dec 28, 2012 Posts 2,697 Reaction score 1,792 Dec 18, 2015 #9 Tahadhari zote zizingatiwe ili kununua kiwanja maeneo ya BAGAMOYO na vijiji vinavyoizunguka
AfricaUnited JF-Expert Member Joined Jul 31, 2010 Posts 2,415 Reaction score 1,386 Sep 24, 2019 #10 Kuna tatizo?
miminimkulimaakachekasana JF-Expert Member Joined May 29, 2017 Posts 3,263 Reaction score 4,741 Sep 24, 2019 #11 Hivi mapinga ni maeneo ya LORD BARDEN au sio?
AfricaUnited JF-Expert Member Joined Jul 31, 2010 Posts 2,415 Reaction score 1,386 Sep 26, 2019 #12 miminimkulimaakachekasana said: Hivi mapinga ni maeneo ya LORD BARDEN au sio? Click to expand... Huko huko ,VP Kwa Kibosha kupo vzr
miminimkulimaakachekasana said: Hivi mapinga ni maeneo ya LORD BARDEN au sio? Click to expand... Huko huko ,VP Kwa Kibosha kupo vzr