E elimukwanza Senior Member Joined Dec 27, 2010 Posts 169 Reaction score 23 Sep 23, 2013 #1 Wadau napenda kuelewa tofauti ya mamlaka hizi na viwango vyao vya mmishahara kwa ngazi ya uhasibu.
bologna JF-Expert Member Joined Sep 10, 2012 Posts 1,489 Reaction score 1,431 Sep 23, 2013 #2 TCAA wanamaslahi makubwa tofauti na TAA Tatizo la TCAA usitarajie kupata kazi kama hauna undugu na mkulu wa pale. Yan sasa hivi TCAA ni full ubaguzi.
TCAA wanamaslahi makubwa tofauti na TAA Tatizo la TCAA usitarajie kupata kazi kama hauna undugu na mkulu wa pale. Yan sasa hivi TCAA ni full ubaguzi.
Ndachuwa JF-Expert Member Joined Mar 8, 2006 Posts 6,268 Reaction score 4,583 Sep 23, 2013 #3 Soma tena heading bologna
networker JF-Expert Member Joined Apr 23, 2011 Posts 570 Reaction score 217 Sep 23, 2013 #4 TAA scale 3 ni laki 7-8 around hapo kima cha chini ni kwa hii sector ya TAA ni 400000 Sasa jaribu kuangalia scale yako inaweza kuwa wapi linganisha
TAA scale 3 ni laki 7-8 around hapo kima cha chini ni kwa hii sector ya TAA ni 400000 Sasa jaribu kuangalia scale yako inaweza kuwa wapi linganisha
Smile JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 15,347 Reaction score 11,626 Sep 23, 2013 #5 tccia nadhani hawana kitu wale
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,789 Reaction score 47,988 Jun 10, 2022 #6 networker said: TAA scale 3 ni laki 7-8 around hapo kima cha chini ni kwa hii sector ya TAA ni 400000 Sasa jaribu kuangalia scale yako inaweza kuwa wapi linganisha Click to expand... Mkuu TAA 4 itakuwa ngapi ?
networker said: TAA scale 3 ni laki 7-8 around hapo kima cha chini ni kwa hii sector ya TAA ni 400000 Sasa jaribu kuangalia scale yako inaweza kuwa wapi linganisha Click to expand... Mkuu TAA 4 itakuwa ngapi ?
Sabosojr Member Joined Jul 20, 2020 Posts 8 Reaction score 8 Jun 19, 2024 #7 UWEZO , UZOEFU NI MUHIMU