Equation Member Joined Feb 16, 2018 Posts 58 Reaction score 81 May 1, 2018 #1 Nafurahia kusikia habari ya Viwanda tuambiwavyo. Lakini viwanda vyenyewe vipo kweli ? Ni vya tangu Uhuru au kuanzia mwaka 2015 ? Na Je kwa Kiwanda kimoja huchukua muda gani kujengwa ?
Nafurahia kusikia habari ya Viwanda tuambiwavyo. Lakini viwanda vyenyewe vipo kweli ? Ni vya tangu Uhuru au kuanzia mwaka 2015 ? Na Je kwa Kiwanda kimoja huchukua muda gani kujengwa ?
MALCOM LUMUMBA JF-Expert Member Joined Jul 26, 2012 Posts 21,444 Reaction score 69,265 May 1, 2018 #2 Uliambiwa kwamba hata Salon nayo ni kiwanda, sasa wewe huwa hunyoi kweli mkuu ???
T tgraceford Senior Member Joined Oct 5, 2017 Posts 113 Reaction score 48 May 1, 2018 #3 Tufatulie @ mjf tulate ukweli,!
Mr.Junior JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 12,984 Reaction score 11,794 May 2, 2018 #4 Vyerehani vinne ni kiwanda.
lukesam JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 13,199 Reaction score 28,080 May 2, 2018 #5 Mama ntilie nae ni kiwanda cha kuutoa unga kutoka katika unga na kuwa ugali,hivyo pia kwa mchele kuwa wali.
Mama ntilie nae ni kiwanda cha kuutoa unga kutoka katika unga na kuwa ugali,hivyo pia kwa mchele kuwa wali.
DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 43,313 Reaction score 109,388 May 2, 2018 #6 Mtoa mada, Awamu hii Tuko vizuri, Ni wasiwasi wako tu unaokusumbua. JUST RELAX
otsward JF-Expert Member Joined Jan 14, 2018 Posts 300 Reaction score 244 May 2, 2018 #7 Vimezid bro mana cherehani nazo ni viwanda?
NkumbiSon JF-Expert Member Joined Sep 22, 2013 Posts 2,526 Reaction score 3,563 May 2, 2018 #8 bado nahesabu nijue bado kuvizindua vingapi?
Kobello JF-Expert Member Joined Feb 20, 2011 Posts 9,220 Reaction score 8,905 May 2, 2018 #9 Hivyo ni viwanda vidogo sana kwa nchi inayotaka uchumi wa kati. Mwaka 2015 China ilikuwa na viwanda milioni 2.8 China Statistical Yearbook-2016
Hivyo ni viwanda vidogo sana kwa nchi inayotaka uchumi wa kati. Mwaka 2015 China ilikuwa na viwanda milioni 2.8 China Statistical Yearbook-2016