Vivazi vya manesi, nafuu kwa wagonjwa....

Jana nilienda hospital ya wilaya ya Ludewa duu hadi nikawauliza hizi sare mnashonewa au mnashona wenyewe maana zinawapendeza kwel wakasema wanashona wao wenyewe wengine wakiinama duu hadi unasahau na zam yako ya kumuona daktar.

Dah haha unasahau mlango wa kwa daktari hehehe
 
Jameni waweza kupona kabisa yaani sketi fupii zimebana.

Kuna hosp moja ipo mkoani Kilimanjaro kuna rafiki yangu alipata ajali ya gari bahati mbaya alivunjika mguu nikawa namwangalia 24hrs pembeni yake kuna mzee alikuwa anatumia mpira kujisaidia ikafika mida ya usiku manesi wa kike wanapita kila wodi kuangalia wangojwa kuna manesi walikuja wamevaa nguo fupi sana na yule mzee alikuwa kavaa zile nguo za ma hosp mzee kafunuliwa lile shuka na yule nesi ili ambadilishe mpira kakuta mzee wa watu bwana mkubwa kasimama vilivyo kwanin wasikimbie wote! haya wajaribu kuyaangalia bhana!
 

mavuzi tena?????!!
uwiiiiiii
 

Hahaha!!!:thumbup:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…