Aisee nimeingia live score naona mtu kapigwa goli mbili nikasema hawa jamaa wameshatoka maana aggregate ni 4 kwa bila. Duh nacheki vizuri kumbe Liverkuku ndio wamepigwa 2. Ngoja niingie live stream niangalie huu uondo kumbe mechi bado ipo on hii
Kwa michezo kadhaa niliyofuatilia msimu huu, naona bingwa wa msimu huu atakuwa kati ya Bayern Munich au Liverpool. Kwa upande wa Liverpool itategemea endapo hatakutanishwa na waingereza wenzie maana anaweza kumsumbua kwavile wanajuana.