Aisee nimeingia live score naona mtu kapigwa goli mbili nikasema hawa jamaa wameshatoka maana aggregate ni 4 kwa bila. Duh nacheki vizuri kumbe Liverkuku ndio wamepigwa 2. Ngoja niingie live stream niangalie huu uondo kumbe mechi bado ipo on hii
Hata ikitokea Liverpool amefuzu katosahau kilichomkuta leo. Msimu huu Villareal wamekuwa timu ya kuduwaza watu, ilianza kwa Atalanta kaja Juventus kafata Bayern Munich leo Liverpool tuone huu ubatizo wao utaishia wapi