[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]..Mpaka wamewazoea..Mende pia mkuu anasumbua sana akina mama wetu
Heee[emoji15] [emoji15] [emoji15]BAADHI YA WANAWAKE...NI ADUI KULIKO CHATU
nyie HATARIHeee[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Pole sana mkuuHapo sijaona hata mmoja..
Kuna tandu wa rangi ya blue (ile iliyokolea kama moto wa gas) mkubwa kama mjusi alimng'ata baba yangu mdogo mguu akiwa analima kumbe alikuwa kajifukia ardhini huwezi amin ule mguu ulivimba na kutoa maji maji kama chemchem hadi kafariki kwa kushindwa kupona
Simba,Nyati,Faru,Chatu....haya ndiyo majina ya wanyama yanayoweza kukujia akili pindi ukiulizwa MNYAMA YUPI NI HATARI ZAIDI KWA MWANADAMU..Kiumbe hatari wa kuogopwa kwa gharama yoyote ile ni MBU.
Kwa vipi kina mamaMende pia mkuu anasumbua sana akina mama wetu
Mtoa mada utakuwa si msomi wa biblia wewe!
Binadamu kaumbwa kuvitawala viumbe vyote chini ya jua
Wewe mbona unatawaliwa na mkeo?[emoji23] [emoji23]Kasoro mtu
Kumbe umenielewa vyema. Nimesema, Mwanadamu alipewa uwezo wa kutawala viumbe vyote; Kasoro mtu. Kama huyu mke wangu kipenzi ananitawala basi yeye hatawaliwiWewe mbona unatawaliwa na mkeo?[emoji23] [emoji23]
Hujamwelewa😂Mende ni wa kawaida sana