Car4Sale Vitz RS million 3.9

Yani vitz namba B tena rangi ya kijani unauza 3.9m? Ninyi ndo mnataka tuseme alaf mje hapa mseme tunawaharibia biashara. Madalali tatizo lao hawaangalii hata upepo wa soko. Hivi kweli leo tupo namba E wew unakuja na vitz namba B et unataka 3.9.
 
Imeshauzwa sasa

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…