Paul Mchumi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2013
- 1,040
- 1,273
Weka bei ku avoid kumaliza dakika zetu kupiga piga simu
Makambako ni iringa ?
Ungekuwa dar ungefanya biashara nlikuwa na mteja sahv wa hyo
Haiwezekani ongezakwa 3.5 inawezekana?
Nicheki kwenye pm au kunako namba yangu,so unajua gari zote za makambako mkuu!Mm niko makambako cjawahi kuiona hii gari niko mjimwema sema 3.5 nikupe mkuu
Si italetwa mpaka hapo ulipo...........wewe tangaza nia........
bado ipo......?!