Arusha hatununuagi vitu kizembe zembe kama unavyofkiria. Huku Muffler, Rims, Spoiler, Cleaner, Timer nk vimejaa ktk Nairobi na vitu vingine tunafunga wenyewe na kuwauzia wa mikoani..Atakosa mnunuzi huku kwa bei hiyo

Mtu unaona kitu hakikuhusu si ukipotezee mbona wabongo mnaroho za chuki na uhasama...hii biashara nimeiweka mimi ..mbona mnainanga hamtaki namm nipate rizk yani wabongo hamuelndelei kwa hizi style