Paul Mchumi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2013
- 1,043
- 1,276
Kabati na viombo vyake au?!
Hehehe hatuwezi kuviacha salama kama vizuri lolMambo ya viombo
Kwann?!Mm nikiona hivyo huwa nakata tamaa
Kwann?!
Huenda anauza anunue vipyaBaada ya kuendelea kujenga wanazidi kubomoa
ukitaka na vyombo vyake takuachia hamna shidaKabati na viombo vyake au?!
Mkuu niuzie kochi hata kesho nalitaka ukiridhika ni pm
Nipe laki kiongozi hako ka fridge!Niuzie fridge peke ake mkuu sh ngapi
Awamu hii kaka inaongoza kwa kuwarudisha watu reverse.. tunauza mpaka vitanda ili tujenge standard gauge![emoji26]Baada ya kuendelea kujenga wanazidi kubomoa
Awamu hii kaka inaongoza kwa kuwarudisha watu reverse.. tunauza mpaka vitanda ili tujenge standard gauge![emoji26]
Hilo siuzi mkuuJug la kuchemshia unauza kiasi gani