MOMPRENEUR
Senior Member
- Jun 18, 2016
- 193
- 127
Sa kwani mtu akimaliza masomo si ndio anatakiwa kuanza maisha??!!..VITU VINAUZWA KWASABABU ALIYEKUWA ANAVITUMIA NI MWANAFUNZI NA KWASASA AMEMALIZA MASOMO YAKE.VITU HIVYO NI VIFUATAVYO:-
KITANDA CHA 3×4
DRESSING TABLE
JIKO LA GESI(MTUNGI MDOGO WA MIHAN GAS)
KITANDA NI TSH.60000/=
DRESSING TABLE NI TSH.60000
JIKO NI TSH.50000
Vinapatikana mbezi-kmara.Ukihitaji ni pm kwa maelezo zaid na picha.
NB😛ICHA ZIMESHINDWA KUINGIA JF.
Anarudi kwao mwanza hvo hawezi kuvisafirisha mkuuSa kwani mtu akimaliza masomo si ndio anatakiwa kuanza maisha??!!..
Sa kwani mtu akimaliza masomo si ndio anatakiwa kuanza maisha??!!..
Ukilala unakunja miguuDuuu kitanda cha 3*4 kinakuaje?
Nahic ukilala miguuu unaweka chiniDuuu kitanda cha 3*4 kinakuaje?
okEmbu nicheki ili nije kuviangalia kwanza 0756200086,0655646568
Duh!hicho kinawafaa wale watu wafupi wa kutoka congoDuuu kitanda cha 3*4 kinakuaje?
Vitu vinauzwa kwasababu aliyekuwa anavitumia ni mwanafunzi na kwasasa amemaliza masomo yake.Vitu hivyo ni vifuatavyo:-
Kitanda cha 3×4
Dressing table
Jiko la gesi(mtungi mdogo wa mihan gas)
Kitanda ni tsh.60000/=
Dressing table ni tsh.60000
Jiko ni tsh.50000
Vinapatikana mbezi-kmara.Ukihitaji ni pm kwa maelezo zaid na picha.
NB: Picha zimeshindwa kuingia JF
Hiv wasela tutaheshimika lini?Nahic ukilala miguuu unaweka chini