Habarini wanajamvii Naombeni mwenye abc's za hii gari anisaidie kidogo haswa kwenye swala la bei ya kununulia gari.katika pita pita zangu kwenye mitandao ya kuuza magari Japan nimeona bei yake iko juu kidogo haswaa'ukilinganisha na vit's clavia na vits models nyingine ambazo Sio Rs Naombeni kujua nini kina chagiza hili je hili gari ni Bora kuliko hizi vit's models nyingine?