kluger JF-Expert Member Joined Jun 16, 2016 Posts 2,093 Reaction score 1,905 Aug 21, 2017 #1 Nimekuwa nikiona Karibu kila mechi Wachezaji wa Timu za EPL wakivaa vitambaa vyeusi mikononi mwao, je hii ina maana gani? Ufafanuzi please
Nimekuwa nikiona Karibu kila mechi Wachezaji wa Timu za EPL wakivaa vitambaa vyeusi mikononi mwao, je hii ina maana gani? Ufafanuzi please
Page 94 JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 5,201 Reaction score 15,234 Aug 21, 2017 #2 kluger said: Nimekuwa nikiona Karibu kila mechi Wachezaji wa Timu za EPL wakivaa vitambaa vyeusi mikononi mwao, je hii ina maana gani? Ufafanuzi please Click to expand... Hii Ina maana kuomboleza tukio lililotokea ya mauaji ya vifo. Mfano, mlipuko wa Bomu uliotokea Ufaransa, kuanguka kwa ndege iliyowabeba Wachezaji wa Manchester United, nk. Hivyo wanavaa kama heshima na kuomboleza vifo vilivyotokea.
kluger said: Nimekuwa nikiona Karibu kila mechi Wachezaji wa Timu za EPL wakivaa vitambaa vyeusi mikononi mwao, je hii ina maana gani? Ufafanuzi please Click to expand... Hii Ina maana kuomboleza tukio lililotokea ya mauaji ya vifo. Mfano, mlipuko wa Bomu uliotokea Ufaransa, kuanguka kwa ndege iliyowabeba Wachezaji wa Manchester United, nk. Hivyo wanavaa kama heshima na kuomboleza vifo vilivyotokea.
Victor wa happy JF-Expert Member Joined Apr 24, 2013 Posts 11,660 Reaction score 11,664 Aug 21, 2017 #3 Km week hii walikuwa wakiomboleza mauaji yaliotokea Barcelona yaliyofanywa na magaidi mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Km week hii walikuwa wakiomboleza mauaji yaliotokea Barcelona yaliyofanywa na magaidi mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
kluger JF-Expert Member Joined Jun 16, 2016 Posts 2,093 Reaction score 1,905 Aug 22, 2017 Thread starter #4 Basi vifo ni vingi sana maana haipiti mechi mbili bila vitambaa vyeusi, hata mimi nilikuwa najua ni kuomboleza ila naona imebidi Karibu kila mechi Sent using Jamii Forums mobile app
Basi vifo ni vingi sana maana haipiti mechi mbili bila vitambaa vyeusi, hata mimi nilikuwa najua ni kuomboleza ila naona imebidi Karibu kila mechi Sent using Jamii Forums mobile app
Jacobus JF-Expert Member Joined Mar 29, 2011 Posts 4,711 Reaction score 1,738 Aug 22, 2017 #5 kluger said: Nimekuwa nikiona Karibu kila mechi Wachezaji wa Timu za EPL wakivaa vitambaa vyeusi mikononi mwao, je hii ina maana gani? Ufafanuzi please Click to expand... Dah! Ina maana yanayotokea nchi nyingine mbali na England hujui? Aibu sana.
kluger said: Nimekuwa nikiona Karibu kila mechi Wachezaji wa Timu za EPL wakivaa vitambaa vyeusi mikononi mwao, je hii ina maana gani? Ufafanuzi please Click to expand... Dah! Ina maana yanayotokea nchi nyingine mbali na England hujui? Aibu sana.