vitabu vya ufugaji samaki

Na wewe unafuga? Maana Tz mtunzi wa kitabu unakuta hata hiyo shughuli afanyi zaidi atakuwa Mwalimu/Mkufunzi/Mhaziri wa chuo/shule fulani
 
Unawezaje kufuga samaki bila kuwa na experience ? nikimaanisha unaweza ukasoma kitabu lakin kwenye practical ikawa viceversa pia katika ufugaji samaki inategemea na eneo husika je wewe unawezaje kuoanisha maeneo tofauti ? Pia kuna aina nyingi za samaki je wewe umezungumzia aina ngapi za samaki kwenye kitabu ulichoandika ?
Je kwenye kitabu chako umezungumzia challenges zinazowakumba wakulima kulingana na maeneo tofauti ?
Je umezungumzia intensive, semi intensive au extensive fish farming ?
Je umezungumzia polyculture au monoculture ?

Naomba maelezo ili niweze kuvutika na kitabu chako kulingana maswali hapo juu niliyouliza
 
tumezungumzia changamoto utatuzi wake.mifumo yote ya ufugaji samaki,kambale na sato.na mengine mengi.
 
Hakika inapendeza kwa mtu anayependa kujifunza mafunzo ya ufugaji samaki kupitia vitabu nadhani kupitia umo anaweza kupata knowledge kuhusu fish farming in general! Nakutakia kila la kheri mkuu katika uuzaji wako na usambazaji wako wa vitabu ili walengwa waweze kufikiwa kwa haraka
 
mkuu unalenga samaki aina gani? maana kunasamani wakula na wa urembo
 
Hiyo namba 4 duuu!

Hao samaki wanakuwa wanakunywa maji tu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…