Vita ya mwanafunzi na Mwalimu

LENGISHO

Senior Member
Joined
Sep 15, 2017
Posts
169
Reaction score
265
Huyu mwalimu kakomolewa kweli ✔
Ama Kweli Mkuki Kwa Nguruwe kwa Binadamu Mchungu Skia Hii….!!* *Ishawahi kutokea Pale nilipokutana njiani na mwalimu aliyekufundisha MATHS secondary afu akaniambia nimuelekeze njia ya kwenda sehemu fulani.* *_Nenda mbele kama 2KM hivi kisha kata kushoto,ila hakikisha ANGLE inakuwa ni 30.5 KUSINI MASHARIKI.Kisha tumia PYTHAGORAS na hakikisha una FOUR FIGURE ili kupata thamani ya ANGLE._* *Mwalimu alisonya na kuondoka.* *Stakagi ujinga kabisa mimi, wakati ananichapa alifikiri sifa* *Mniache Tuu Mimi Sio Kwa Bifu Ilo Aiseee*
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…